Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wakuu. Amani iwe nanyi
Kwa privacy sitataja mm ni mfanyakazi wa lodge gani Dodoma.
Kiukweli yanayotendeka nyumba za kulala wageni (guest house ), lodge, hotelini na zile tuitazo guest bubu ni ya hatari, yanafikirisha na ni maasi makubwa sana.
Watu wanakulana aisee jamani. Na miongoni mwa ambao wanafumana sana ni :-
1. Walimu(me) Vs Wanafunzi (ke)
2. Wahadhiri wa vyuo Vs madenti wao
3. Bodaboda Vs wake za watu
4. Wanafunzi Vs Wanafunzi
5. Waheshimiwa Vs videnti vya chuo
6. Mashoga Vs Waheshimiwa
7. Waume za watu Vs Wake za watu
Na siku hizi watu wanaumizana nyakati za mchana (hasa wafanyakazi).
Mtu X na mtu Y wote wanaaga kama wanaenda kula breakfast or lunch. Nusu saa kwao inawatosha mno kufanya kila mtu. Jamaa analipa room ya elfu 80 per day , anagonga mke wa mtu dakika 20 anasepa zake mazima. Siku imeisha.
Mchana kuna maasi sana Dodoma. Mtoto anaaga home eti anaenda dukani dakika 20. Jamaa anamnyakua mahali na boda anaenda kumtafuna. We unaona yupo full time home kumbe unalizwa.
BodBoda na Bajaji wana siri nzito sana. Wanatumika sana kuleta na kufuata wake /waume za watu Lodge / Guests.
Mimi huwa naona mpaka wake wa jamaa zangu wanakuja kugongwa. Mara nyingi tu. Anakukatia mkwanja unauchuna.
Mambo mengi muda mchache!