CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
We payuka ovyo tu halafu waachiwe uraiani bila kazi uone chamoto!
Unayepayuka ni wewe uraiani watakuwa na bunduki, kama hana bunduki hana lolote
We payuka ovyo tu halafu waachiwe uraiani bila kazi uone chamoto!
Hairuhusiwi kisheria.kwan wamesema majina fake au vyeti fake... halafu wana mafao yao kwenye mifuko ya pension kwahyo HESLB watakata moja kwa moja, tena deni lote lililobakia
Kazi ipo mwaka huuDu mtaani kwetu salamu zimerudi, unasalimiwa kama unadaiwa wakati mwanzo salam ni nadra...presha ndo usiseme,viwanja vinauzwa bei ndogo,matangazo ya nauza godoro na vyombo vya ndani ndo yamezidi yaani ni ndani ya mwaka tu humu hivi miaka mitano impact zitaongezeka?
Watafanya nini? Mbona asikari wengu tu wamefukuzwa kazi na tuko nao mtaani wapo wapo tu wengine tunabeba nao mchanga. Wafukuzwe tu hamna namnaWe payuka ovyo tu halafu waachiwe uraiani bila kazi uone chamoto!
Kama na wewe ni mmoja wao sema tu tukujueWe payuka ovyo tu halafu waachiwe uraiani bila kazi uone chamoto!
Kwa nini usipoteze muda wakati hadi mapunziko umefunga goli tano bila? Au unahitaji sare baada ya nyumbani kupata goli tano bila. Mh Magufuli kwa mwaka wa kwanza tu kaanzisha utekelezaji wa asilimia 80 ya mambo yaliopo katika ilani ya uchaguzi ya ccm 2015/2020.Siku atakapogeukia kwako kwa kisingizio kingine usiache kupost tena. Anachofanya Mzee wenu kama ingekua Ni mpira Ni anapoteza muda, mkija kutahamaki refa anamaliza mpira.
Kaka hawa watu wamekuwa trained kutumia silaha.. na pia kuweza kufanya kazi bila silaha. They are still dangerousUnayepayuka ni wewe uraiani watakuwa na bunduki, kama hana bunduki hana lolote
Kwa hiyo we unaona bunduki wao kupata itakuwa shida sio! Je majambazi wanazipata wapi!?Unayepayuka ni wewe uraiani watakuwa na bunduki, kama hana bunduki hana lolote
Kweli bob huyu anaeleta ushabiki wale jamaa wakitumuliwa hat 700 tu uraiani tunapata taabu maana watakuwa na connection hatari yaaniWe payuka ovyo tu halafu waachiwe uraiani bila kazi uone chamoto!