Attraction
Member
- Jul 24, 2013
- 15
- 2
Nimekutana na viliio vya baadhi ya wakazi waliokuwa nje kidogo na mji wa Dom wakilalamikia CDA CAPITAL DEVELOPMENT AUTHORITY kupima viwanja vyao na kuwapokonya ardhii. Unaambiwa wafanyakaz wa CDA wanaviwanja sana na ni matajiri hata ukipita nje ya ofisi zao utaweza gundua hilo.nikajiuliza je hii CDA mikoa mingine IPO ? Tusaidiane