Mwaka Jana nilikuwa Kigoma, kule niliona kuna Wanyarwanda, Warundi, Waganda wako kule wanapiga pesa mbaya.
Wanyarwanda wanachukua muhogo wana uprocess na kuuza west Africa hasa nchi kama Gabon, fikiria Gabon wanakula muhogo unao toka Kigoma ila kupitia Rwanda.Uganda wanachukua wana process wanauza Sudani kusini. Jamaa wanaiona furusa Kigoma.
Kigoma sisi kibongo bongo tunaona ni shamba sana, ila kuna watu wana tajirika pale.
Sisi bado tuna menatality za mijini kwamba life iko Mjini, life lazima uwe unaona lami.
Biashara ni kokote kule ambalo umeiona furusa na kumbuka pesa ni matokeo ya wewe kuwa umetatua changamoto za jamii.
Sasa huko Dodoma jiulize unaenda ku solve changamoto gani? Kuna changamoto kwenye jamii unaiona?