Dodoma ni kutamu jamani

Mbu walioning'ata raibow na royal wafanye jambo, wapige fumigation otherwise dom pako mukide
 
kwanza, kwasasa kuna watu wamechanganyana sana, hivyo hujakutana na wenyeji, ni makabila tofauti. hapa hawaishi wagogo tu.

pili, biashara Dom ni nzuri sana, kuna fursa.

kwa habari ya chuma ulete, inategemeana upo wapi, nakushauri tu okoka ili Mungu akulinde, kuna warangi wamejaa pale hizo chuma ulete, Mungu tu ndio kimbilio. ila hata wakiiba namna gani, watabakisha kwasababu biashara dom inalipa. kama umeokoka na unatoa fungu la kumi ndio dawa hakuna atakayepiga chumaulete ikakubali.

kwa habari ya majengo na uzuri wa mji, hakuna sehemu kuna ujenzi bora kama dodoma kwa sasa, pamepangwa, nyumba nyingi mpya, paa zinafanana rangi kwani kila eneo limepangiwa rangi yake, na nyumba nyingi ni bora, hakuna za wachovu. nenda ilazo na maeneo mengine utajua hili. na wakimaliza ule mji wa magufuli, itakuwa jiji kubwa kuliko hata windhook ya Namibia.

bei za vitu vyote dodoma ni gharama kuliko dsm na mikoa mingine, dom watu hawajazoea kubembeleza mteja, labda ukute mchaga na mkinga, na hawapendi kupunguza sana bei, unaweza kwenda duka lingine kama vipi.
 
Hiyo sio 5 Star acha kudanganywa. Hamna 5 Star Hotel Dodoma labda wa-upgrade napo itachukua muda, maana hii ilikuaga 3 Star labda wapande hadi 4
 

Attachments

  • 20230721_120950.jpg
    878.8 KB · Views: 26
Dodoma nilitokaga ila nimerudi mwaka jana pamekua sana.
Mimi kama mimi sikutoka kwa mazuri hivo sina mood ya kuishi tena pale.
Mkoa fulani unamizizi ya kutokea fasta kwa anayetaka pesa aende dodoma.....afu pia kuna sehemu za kutumia pesa unayo itafuta tofauti na arusha hujui pesa utaila vipi ufurahi.
Kama una elfu 30 hapo mfukoni mwanamke ni huduma ya mpesa unapata fasta.....wa kulala mpaka asubuhi.....elfu 30 yako inaenda kihalali.....kuhusu kuumwa UTI au gono ndio penyewe hata kama ni pisi kali....

Dodoma Enzi nipo mpaka nasepa Maisha club, club 84, royal village, rainbow, malaika lounge, platnum annex, rose garden, nk ilishafungwa.......hotel nashera na morena zilikuwepo.

Bar ni nyingi kama kule fourways nkuhungu, ngongona udom, kito mlezi, n.k
Kuogelea ilikuwa st.gasper.

Ila kwa sasa sipo wala sipataki dom wana wananiita ila sitaki.
 
Soma hiyo
Hiyo ni mbwembwe za matangazo. 5 Star Hotel wala huhitaji hata bango maana inajitangaza yenyewe na reservations ni online sio kwa kupiga debe kwa bango. Angalia online ndio haidanganyi.
Wamejitahidi kumbe wako 4 Star. Ila hata 4 Star ratings zinautofauti sana
 
Hio ni five
 
We umeondoka kwa matukio huku unaonesha sio raia mwema ,ulimweka mwanafunzi mimba
 
Unabisha picha imeandikwa "enjoy 5 star experience" wewe unagoogle😆😆 kusoma hujui hata picha huoni
 
Asante sana Kwa kujazia nyama aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…