Dodoma ni kutamu jamani

Huo ushamba wakukimbilia na kuona Dar ndio kila kitu umepitwa na muda nmewahi kuishi Dar miaka 2 na hapajanitoa ushamba ety nione ni bonge la mji ,I feel safe in Dodoma.
Wakuu sawa dodoma panachangamka ila dar ni habari nyingine, hata mama samia ikulu ipo dodoma ila kila siku yupo dar es salaam, wazee yan mnaibeza dar es salaam kweli ? Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Tanzania kwa ukubwa wake mkoa tunaoutegemea kuliko wote ni dar na huwez kuibeza kwa lolote lile, dar ni mwisho wa matatizo wazee hata kama hampapend tuseme ukweli tu, nna ndugu yangu mserikali juz kanunua kiwanja mbweni M200 dar bado panasoko, panaongoza population, kibiashara na mambo mengi huwez fananisha na mikoa mingine, pamoja na joto lote hili lakini kila siku population inaongezea je pangekuwa na weather kama ya Arusha au Mbeya si ingekuwa balaa…ukweli usemwe jaman
 
Hakuna alieibeza dar , mimi mwenyewe pamoja na kutoa mada hiii lakini Nina nyumba tatu dar , na bado nakuja sana tu
 
Ukuaji wa Dodoma na hata mikoa mingne haimaanishi Dar ndio itasimama hapana, Dar itaendelea kuwa Dar kama kawaida, ila kuna hali flan sshv huku mikoani hata ukienda Dar na ukarud hauoni tofaut kama Ulvokuwa zaman.
 
That doesn't change me the way I think of myself. Halafu, hakuna tusi jipya ambalo utatukana. Ungekuwa unajitambua usingekuwa mtu wa matusi.
Mpumbavu wewe.
Ndio maana nasema hujitambui
 
Vumbi na Jua Kali
Hakuna maji mfano hapa Chaduru ninapokaa
Hakuna vishoka wa maana
Kila Ijumaa kuanzia saa 6 mchana mabasi ya kwenda DAR yanajaa...watumishi wanageuka madenti..Jpili Kwa magufuli wanarudi shingo upande
Bar zote mnakutana wateja wale wale
V8 Ijumaa zinatoka ,mbio kwenda Dar
Bado wafanyabiashara wakubwa hawataki kuhamishia investment zao Dom---
Anyway Hongera Serikali mnajitahidi
 
Watoto wa watu hao tafadhari usije sema sikukwambia
 
Mvua ni nyingi Hadi tumezichoka , kama ni inzi mbona dar wako wengi Hadi kipindupindu lini ulisikia Dom kipindupindu?
Ila kuna miji hata wakiniambia nikaishi kwa mkopo siwezi,,, Dodoma, Sumbawanga, Kigoma Lindi, Mtwara na ruvuma kuishi hiyo mikoa mtanisamehe 😂
 
Mkuu wapi hapo ambako ukichukua room unapewa demu wa bure?
 
Unaweza kuwa umejenga nyumba tatu Dar na bado ukawa mshamba wa kuishi Dar ndo maana pakakushinda Mjini panahitaji wajanja Yaani ushindwe enjoy Dar town uka enjoy porini na mifugo kweli??????
 
Unaweza kuwa umejenga nyumba tatu Dar na bado ukawa mshamba wa kuishi Dar ndo maana pakakushinda Mjini panahitaji wajanja Yaani ushindwe enjoy Dar town uka enjoy porini na mifugo kweli??????
Hv hyo Dar ndio yakusimangia watu namna hii😅 kama ni ushamba mbona ninyi watu wa Dar ndio wakuu wetu bana 😅 ni washamba sjipata kuona akiii.

Moreover; Ni kwann mgen kutoka mbele akja huko Dar anasema Tz n washamba!? Tz inanuka !? It's bcos of yuh guys, kwa jna lingne nyie ni WASHAMBA MLIOCHANGAMKA.
 
Mtu wa hivi ni WA kuja ukute anakaa vikindu
 
Unaweza kuwa umejenga nyumba tatu Dar na bado ukawa mshamba wa kuishi Dar ndo maana pakakushinda Mjini panahitaji wajanja Yaani ushindwe enjoy Dar town uka enjoy porini na mifugo kweli??????
We ni boya kweli aliekwambia kashindwa maisha ni nani mjanja anatafuta kokote ,tatizo huna akili ukiona mtu kaenda sehemu nyingine kupambana unamuona kashindwa , ndio nyie mliojazana kwenye nyumba za urithi tandare
 
Ila kuna miji hata wakiniambia nikaishi kwa mkopo siwezi,,, Dodoma, Sumbawanga, Kigoma Lindi, Mtwara na ruvuma kuishi hiyo mikoa mtanisamehe
Endelea kukomaa vingunguti ,sisi wa mkoani tukija huko tuwagongee wake zenu tuwape pesa za vikoba marejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…