Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,732
- 3,951
Na umuch know wote huo hujui kuandika Kiswahili?Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kitu
Dogo ni mpumbavu sana, hajui hata kutafsiri kilichoandikwa kwenye bango "Feel at home" na "Enjoy 5 star hotel experience"Nishaelewa uelewa wako kwenye hotel upoje...siwezi endelea nawewe maana nilikua nataka nianze kukuelewesha hadi hizi hotel loyalty programs kama Mariott Bonvoy ufungue upeo ila ntajisumbua bure. Nimesanda ,ushindi ni wako..ni kweli Dom mnazo 5 Star hotels tena kibao
Tofauti ipo mkuu. Tena kubwa sana.Sijawai ona tofauti hata wanafunzi wakiondoka
Dar kukiwa kugumu huwezi kuishi mji wowote hapa Tanzania.Dar kugumu
Dogo ni mpumbavu sana, hajui hata kutafsiri kilichoandikwa kwenye bango "Feel at home" na "Enjoy 5 star hotel experience"
Literally zina maana moja. Kwamba hapo sio nyumbani/sio 5 star ila utajisikia kama upo hadhi ya nyumbani/5 star.
Achana naye huyo.
Nani anataka kutimuliwa na vumbi la Dodoma?Dodoma kutamu nimekaa miaka minne hakika hata rangi ya ngozi yangu ilibadilika ni sehemu ambayo mda wowote naweza kurudi kuishi bila kusita.
😆😆Ebu tutajie hizo barabara za vumbi ndani ya Dodoma.Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupu.Hakuna Jiji linalopendelewa na Serikali kwenye upande wa mtandao mpana wa barabara za lami kama DodomaNani anataka kutimuliwa na vumbi la Dodoma?
Halafu asubuhi unakwenda kuoga, unapaka sabuni povu halitoki!!
Ndiyo maana hata yule ombaomba Matonya alikuwa kila alirudishwa Dodoma na Yusuf Makamba, baada ya wiki abarudi tena Dar
Hajitambui huyoDogo ni mpumbavu sana, hajui hata kutafsiri kilichoandikwa kwenye bango "Feel at home" na "Enjoy 5 star hotel experience"
Literally zina maana moja. Kwamba hapo sio nyumbani/sio 5 star ila utajisikia kama upo hadhi ya nyumbani/5 star.
Achana naye huyo.
We upinde nini ? , Unaeandika vizuri umenizidi nini boya wewe pita vile acha shobo kwa wanaume utaliwa bureNa umuch know wote huo hujui kuandika Kiswahili?
Kimala, mala mbili, kalibu na msikiti, loundabout......what a fvck is this?
Ungekuwa dame unaniandikia hivi hapo hapo ni total disqualification na namba nafuta.
Dumb, deaf, blind
Moron, idiot.
Sorry Malafyale.
Hio ni akili ya mwanamke sio woteNa wake zao tunawakaza huku week nzima. Weekend wakija wanachovya kidogo wanasepa. Jumatatu tu babe anakuchek.
Kuna wewe jamaa unakaa Dom, mkeo anafanyia kazi Lugalo (mjeda) analiwa huku kinyama tena kule kule karibu na kwako Kimara.
Nicheki boboNipe connection ndugu
Sawa mkuuasante mkuu nakuja soon.
Huyo hajitambui anabisha bisha kama jinga[emoji38][emoji38]Ebu tutajie hizo barabara za vumbi ndani ya Dodoma.Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupu.Hakuna Jiji linalopendelewa na Serikali kwenye upande wa mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma
Utakua mgogo weweAkuchemwali nani? Ulimswano gwegwe?
KabisaDodoma ya sasa ni moto mkuu, siyo kama ya zamani
Kalibu sanaDodoma kutamu nimekaa miaka minne hakika hata rangi ya ngozi yangu ilibadilika ni sehemu ambayo mda wowote naweza kurudi kuishi bila kusita.
Hamna tofautiTofauti ipo mkuu. Tena kubwa sana.