Dodoma ni kutamu jamani

SIPAPENDI........kisasa,nkuhungu,bahi road,Area c,Area D,Nala,mlezi,jamatini,ndio pakusifiwa hivi?mbona ukame sijauona ukiusifia?
Nenda Dubai ukakutane na ukame , tatizo mna Kali maisha , je unajua ukame wa dodoma ni asilimia ngap , na umesababishwa na nini, endelea kuishi dar kwa mfuga mbwa ,au kwa mama kibonge
 
Ndio ujinga wa vijana wa mikoani, mnaponda Dar huku unafahamu bila kuitaja Dar unaonekana mshamba.
Wewe ndio wa mkoani , mimi nimezaliwa dar na nimesoma dar Hadi maisha yg kiujumla Mali zg nyingi ziko dar, ila kwa Sasa Niko Dom kibiashara taklibani mwaka mmoja , nilichokutana nacho ni tofauti na machoko wale wanaokaaga kuiponda dodoma , nimekuta Pako vizur fulsa ni nyingi , pesa nje nje
 
Wakazi wa Dar tuna kikao. Hawa wageni wanakuja wanatutukana. Muishie Kibaha sasa.
 
Dodoma ikifika ijumaa watumishi wengi wanakuwa kama vile wanafunzi wanavyoshangilia likizo ya mid term!! watu full shangwe na mabasi yanajaa yote. Utakuja kuwaona dar siku ya jumapili wanvyorudi Dom kinyonge.
Family
 
Hakika umenena na unajua vizuri Dodoma.
 
george aloyce Kuna Uzi wako hapa uliandika kwamba ulishaliwa tigo mpaka ukakosa mchumba wa TRA.
Swali langu Ni, we ni Mee au kei?
 
george aloyce Kuna Uzi wako hapa uliandika kwamba ulishaliwa tigo mpaka ukakosa mchumba wa TRA.
Swali langu Ni, we ni Mee au kei?
Mimi ni mtoa ushauri nasaha jinsia me , kwa hio hua naandika Yale ninayopostiwa na members wg , kwa hio ule ushauri mnaotoa ndio nae anasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…