Dodoma: Ndege yatumia Barabara ya Magari, watu wataharuki

Asante kwa ufafanuzi.
Kwa wale tunaojua uwanjacwa ndege wa Dodoma ukiwa unatoka maeneo ya chako ni chako au unaelekea wajenzi ,huu uwanja Uko open ground kabisa, hivyo hiyo ndege kuonekana na wadau inavutwa ni sawa tu.
 
Imeshaundiwa dili, kuna mtu mzito atauziwa kwa sh laki tano (kama zile za kilimo), na kesho kutwa tutaiona ikipiga safari za Dar Zanzibar...
 
Katika safari za ndege mambo kama hayo ya kawaida sana hata Boeing mara kadhaa tunaona zikitua viwanja wa ugenin kwa dharua kutokana na hitilafu ndogondogo na kubwa pia
 
aliishiwa mafuta huyo, ndege INA viwanja viwili, cha kwanza ni kuzinguka angani karibu na uwanja wa ndege hadi atakapo pata go ahead hasa kwa viwanja busy . cha pili ndio cha kutua ardhini, ukiishiwa mafuta ndio hivyo unatakiwa kutafuta njia mbadala.
 
Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
WEWE UNAWEZA KUWA MMOJA KATI YA WANAHABARI WENYE VYETI FEKI,HAMFUATILII HABARI KUJUA UKWELI UNAKURUPUKA TU KUANDIKA MWISHO UNADANGANYA WATU!HIYO NDEGE NI MBOVU YA SIKU NYINGI IMETOLEWA UWANJA WA NDEGE DODOMA INAHAMISHIWA AFRICAN DREAMS ILIYOPO KARIBU NA KIWANJA CHA NDEGE KWA KUKOKOTWA NA TREKTA KUPITIA BARABARA YA MAGARI.
 
Inaenda kufanywa hotel iyo pale african dream me nilikua matei nimeshuhudia ikivutwa
 
Waliwaduwaza wengi kwa kuiinua ile ndege in less than 1500 m Gonga hapa
Mbna nikisikia ilifika kia wakakuta ndege nyingine kubwa inaruka so akaambiwa asubir kama dk kumi akaamua akatue Kenya but ikawa ishaashiria wese limekata ko ruban akaona haitafika kenya akaidirect arusha akapata nafasi ndipo alipo ishusha na ilienda had nje ya uwanja,,,tair za mbele zilititia mbna,,,
 
Duuu kweli nimeamini wabongo wewe wape picha tu, maneno watayaweka wenyewe na utayapenda kuliko uhalisia wake.

Kwa taarifa za wadau wa Dodoma wenye weredi wanaeleza kuwa hiyo ndege ilikuwa mbovu kitambo na ilikuwa imepark ndani ya uwanja wa ndege. Inasemekana Tajiri wa African Dream Hotel iliyopo area D akaainunua ili aiweke kwenye hoteli yake kama Kivutio kwa wateja. Na hapo kwenye picha ilikuwa inavutwa na trecta kupelekwa hotelini Maeneo ya area D.

Ni ubunifu mzuri na ninaimani itamuingizia hela nyingi kwa watu kufika hotelini na hata kwa wananchi wa kawaida kuitembelea na hata kutoa kiingilio kuingia ndani na kuiona ndege, maana si rahisi kwa watu kuingia uwanja wa ndege, ila hapo kwa miezi 6 ya mwanzo jamaa atapiga hela nzuri sana. Hongera mmiliki wa African dream Hotel kwa ubunifu kibiashara.

Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
 
Back
Top Bottom