muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,199
- 15,584
Ndege ya muda mrefu na mbovu, imepigwa mnada na hapo inavutwa kupelewa African dream Hotel.. nadhani hao ndiyo wanunuzi..
Anachokisema kwa ufupi hakuna ndege iliyoanguka au kutua barabarani. Kulikuwa na habari kwamba Kuna ndege imetua barabaraniSoma message yako umesema hujui inapelekwa wapi then what is the use of this thread sababu hujatoa ufafanuzi wowote umetuacha njiani.
Acha ubishi wa kijinga.Soma message yako umesema hujui inapelekwa wapi then what is the use of this thread sababu hujatoa ufafanuzi wowote umetuacha njiani.
Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
Kwa hiyo imeibiwa na mwenye tractor kama hujui inaelekea wapi. Hii thread yako ni fake
Upotoshaji mtupu, hiyo ndege muda mrefu ipo kiwanjani Dodoma, mbovu kitambo, leo imepigwa mnada hapo pichani inavurwa kupelekwa African dream Hotel..
Ulishaona nchi gani ndege zinakaa mtaani tofauti na airport hayo ni maajabu ya musa.Ndege ya muda mrefu na mbovu, imepigwa mnada na hapo inavutwa kupelewa African dream Hotel.. nadhani hao ndiyo wanunuzi..
Hiyo ni ndege ya Jeshi na ya siku nyingi sana kwasabubu ina namba zinazoanza na JW na ilikuwa katika karakana ya ndege ya uwanja wa ndege wa Dodoma.
Ndege hiyo inaonekana ilikuwa Uwanja wa Ndege wa hapa Dodoma kwa muda mrefu na ni wazi si nzima na leo imevutwa na treka kutoka kwenye uwanja huo na kupekekwa sehemu ambayo tulioshuhudia tulikuwa hatujui inavutwa na treka hilo kupelekwa wapi kwahiyo hakuna ndege iliyoanguka.
Ndege imevutwa kutoka kwenye karakana na kutolewa nje ya uwanja wa ndege wa hapa Dodoma.
Acha ubishi wa kijinga.
Hivi kwa akili yako ndege ianguke barabarani bila kuleta madhara yoyote?
Mimi ni mmoja wa shuhuda wa hii tukio lakini haikuwa kazi yangu kuwahoji wanakoipeleka.
Kwa taarifa yako hiyo ndege haina hata damage yoyote kwa nje.