Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,448
- 23,124
Sasa huko inakopelekwa kuna karakana ya ndege. Mimi huwa najua matengenezo yanafanyikia Airport, sasa Uswazi tena, tena kwa kuvutwa na tractor.Dah,hii kali!Ndege ikiwa inavutwa kwenye barabara ya Magari Mjini dodoma.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893