muongo wwKiukweli Mimi ndo mwenye trekta,jamaa waliniomba nivute ndege yao washute coz betri ilikuwa down!nmewavuta mpaka udom ikawaka,wakasepa zao!!!
tatizo lako ubishi mkuu!muongo ww
Ntakubishia mpk kufaa nitumie pic yako nikuone kwanza mana mwenye trecta nilimuonatatizo lako ubishi mkuu!
Nadhani hilo liji dege bado lipo pale airportMwaka gani huo mkuu?
Tumia lugha ya kistaarabu!
Pengine Mie ndio Mumeo ninaekupanda Usiku huu sema tu hujui kwa kuwa hujui username yangu!
WEWE UNAWEZA KUWA MMOJA KATI YA WANAHABARI WENYE VYETI FEKI,HAMFUATILII HABARI KUJUA UKWELI UNAKURUPUKA TU KUANDIKA MWISHO UNADANGANYA WATU!HIYO NDEGE NI MBOVU YA SIKU NYINGI IMETOLEWA UWANJA WA NDEGE DODOMA INAHAMISHIWA AFRICAN DREAMS ILIYOPO KARIBU NA KIWANJA CHA NDEGE KWA KUKOKOTWA NA TREKTA KUPITIA BARABARA YA MAGARI.Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
Ni Antonov-28Kaka barafu ni Antonov hiyo?
Mbna nikisikia ilifika kia wakakuta ndege nyingine kubwa inaruka so akaambiwa asubir kama dk kumi akaamua akatue Kenya but ikawa ishaashiria wese limekata ko ruban akaona haitafika kenya akaidirect arusha akapata nafasi ndipo alipo ishusha na ilienda had nje ya uwanja,,,tair za mbele zilititia mbna,,,Waliwaduwaza wengi kwa kuiinua ile ndege in less than 1500 m Gonga hapa
Ndege imeshindwa kutua uwanjani ikatua barabara ya kuelekea African Dreams.
View attachment 507898
View attachment 507895 View attachment 507893
Mradi zinaruka mbona babu yako anaruka na ungo?Itakuwa tu ni hizo MAPANGA BOY...unapanda ndege ndani haina taofauti na daladala..