Haki ipi kaka? CAG sio Halima Mdee au Zitto Kabwe ambaye hiyo kamati inaweza kumfukuza kuhudhuria vikao vyote "vilivyobakia". Hawana la kumfanya. Sana sana watamwomba aombe msamaha tu kama watafanikiwa kumlazimisha akubali hayo aliyosema ni kulidhalilisha Bunge, ambalo basically ni dhalili na dhaifuTumwombe Mungu haki itendeke kwa CAG wetu,amin
Nalog off
Wasije wakamuwekea tu polonium kwenye kiti chake au meza.Akiwa amekaa awe anapuliza kwenye meza kama kufa wafe wote.
Ahsante sana kwa kunifungua machoHaki ipi kaka? CAG sio Halima Mdee au Zitto Kabwe ambaye hiyo kamati inaweza kumfukuza kuhudhuria vikao vyote "vilivyobakia". Hawana la kumfanya. Sana sana watamwomba aombe msamaha tu kama watafanikiwa kumlazimisha akubali hayo aliyosema ni kulidhalilisha Bunge, ambalo basically ni dhalili na dhaifu
John rafiki mbona unawageuka wenzako? Nyote mmemkandia Assad, leo naona kama you are positive with kupiga picha na mbaya wenu! Umeanza kugeuka au danganya toto! Au kuna kitu I am yet to decipher!Habari hizi nimepenyezewa na mbunge mmoja kutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Inasemekana wabunge kwa mapenzi yao wameomba kupiga picha na alhaj Prof Assad kwa kile walichokiita kuwa mashahidi wa historia ya bunge kwa vizazi vijavyo.
Mbunge huyu ananijuza kuwa hata wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge wametamani kupiga picha na CAG wakidai kuwa ni jambo jema na la kawaida kabisa katika kuimarisha mahusiano.
Nimejiuliza tu kama hata mwandishi nguli hapa nchini Pascal Mayalla alipoitwa na kamati wabunge walimsubiri wapige naye picha.
Ni hayo tu kwa uchache
Maendeleo hayana vyama!
Hii taarifa nimepewa na mbunge wa UKAWA!Jojhn rafiki mbona unawageuka wenzako? Nyote memkandia Assad, leo naona kama you are positive kupiga picha na mbaya wenu! Umeanza kugeuka au danganya toto! Au kuna kitu Iam yet to decipher!
Lissu ni MtumeHardtalk ya lissu imevuruga kila kitu