Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,486
Kweli kabisaWaliokuwa wanahujumu Taifa hili na kushirikiana pamoja na Mabeberu ni viongozi wakubwa wa Taifa hili.............In Magufuli Voice😳
Kuna watu hivi sasa, wakati mimi na wewe tukichat hapa JF, Wanatafuna nchi kwa kasi ya 6G.Kweli kabisa
Hilo jina litafutwa baada ya miaka kadhaa tu, take my words.Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
InakujaPicha
Ila ataendelea kubaki Akili kwako ukiona mboba la gesi ,bwala la umeme,treni NK.Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki
Keshakufa huyo
Wewe zezeta kweli. Kwani mtu akifa ndiyo mwisho wa kila kitu? Hiyo hutokea kwa makapuku kama wewe, siku ukifa ndiyo basi tena.Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki
Keshakufa huyo
Habari ya mjini ni mali ya yule Musiba mjinga mwenzenu kupigwa mnada wewe unapuyanga tu humu JF. Msaidieni sukuma gang mwenzenu aepuke ghadabu ya pilatoHuko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 90 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Usioitaje jina la huyu dikteta unatoneasha vidonda vya Watanzania walio wengi.wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli
ficha ujinga wakoUsioitaje jina la huyu dikteta unatoneasha vidonda vya Watanzania walio wengi.