DODOMA: Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (NEC) | 29.04.2021

Msidharau wazee nyinyi Chadema.
Hivi unajua moja la anguko la CDM ni kudharau wazee?
Wamebaki na mwenye chama pekee mzee Mtei na mwke wake ndio maana tunaita SACCOSS, hii SACCOSS ina mzee mmoja ambaye ndie mmiliki na mkwewe mmojaambae ndie mwendeshaji,kwisha. Wengine waliobaki ni wafagizi tu wa ofisi.
 
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kimefanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Philip Mangula


View attachment 1767527
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM (Bara) Rodrick Mpogolo akizungumza katika .

View attachment 1767526
Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.

View attachment 1767525
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.

View attachment 1767529

Wajumbe mbalimbali wa NEC wakiwa katika Kikao hicho cha NEC kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.

PICHA NA IKULU
Raisi ambaye ni mjumbe kakaa meza kuu. Kwamba lile kundi la kutenganisha kofia limeshindwa
 
Wamebaki na mwenye chama pekee mzee Mtei na mwke wake ndio maana tunaita SACCOSS, hii SACCOSS ina mzee mmoja ambaye ndie mmiliki na mkwewe mmojaambae ndie mwendeshaji,kwisha. Wengine waliobaki ni wafagizi tu wa ofisi.
Kabisa,ukweli mtupu.
 
Lile kundi linaweweseka
...lakini hata awamu 4 wale wafaidika walijaribu kusogeza muda ili JK aendelee kuwa mwenyekigoda lakini ikashindikana
 
Wamekumbuka kusimama dakika moja kumkumbuka mwendazake?

20210430_070718.jpg
 
Back
Top Bottom