Dodoma huwa wanafuata nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma huwa wanafuata nini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by First Born, Jul 12, 2011.

 1. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hivi jamani hawa tunaowaita waheshimiwa huwa mjengoni wanafuata nini? Kutukanana? Mf Sitta Samwel wapinzani wanafiki, na maneno kibao ya kashfa, hapo hapo wengine wao kwa wao wanakiukana, sasa sisi wananchi tunapata ujumbe gani bungeni?
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  nambieni!
   
 3. r

  rachel kusia Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika bunge hili la kumi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, halafu wanakuona unavyotoa lugha ya matusi au kejeli haipendezi hata kidogo.
   
 4. r

  rachel kusia Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika bunge hili la kuimi ni udhia mtupu. Heshima ya mtu ni mtu mwenyewe. Kama unawawakilisha wananchi wako, lugha chafu na ya kejeli ya nini. Waheshimiwa wazima wanazomeana kama watoto wa std II. Inatia aibu.
   
 5. j

  join9527 Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa sisi wananchi tunapata ujumbe gani bungeni?

  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 6. j

  jumalesso Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengi huwa wanafuata mshiko na posho za nguvu!
   
 7. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  6 ni CCJ! nae mpinzani so sishangai..poleni ndugu zangu wapenda maendeleo
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  pole itasaidia nini ndugu yangu, tutaendelea kuitwa maskini kwa staili hii.
   
 9. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Kulala na kusinzia kwenye viti vya bunge!!
   
Loading...