Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!

Hivi nchi nyingine wana nini cha kupoteza zaidi ya kufaidi rasilimali za nchi inayoendeshwa na timu ya watu waliowekwa madarakani kwa kuchakachua matokeo!!!!!
 
Hivi nyie mnafikiri Watanzani wote wajinga?Nyie mnafikiri mnaye jadili hapa JF ndiye yapo mitaani au huki vijijini?Mijtu mingine !

Punguza jazba we mwana-CCM unaetumika kama daraja bila kujitambua. Unatokea kijiji gani we lijitu lisilo na akili?
 
Hivi nyie mnafikiri Watanzani wote wajinga?Nyie mnafikiri mnaye jadili hapa JF ndiye yapo mitaani au huki vijijini?Mijtu mingine !

...Taratibu! JF inafahamika kama vile mwanahalisi linavyofahamika.

...Labda utuambie, wewe uliifahamia wapi?
 
Kususiwa na Chadema hakumfanyi kutokuwa Rais!

Wapo wengi sana wanaoweza kususia ukiwepo wewe ambao hata msusie na nini hakuna atakayewashangaa. Lakini Wakisusia wabunge wa CHADEMA itakuwa issue yenye concern, na itakuwa na maana hata kama sio kumuondolea uraisi wake wa wizi...
 
Mimi nauliza kwenye hiyo hotuba yake ya leo kuna nini jipya zaidi ya yale alikwishakusema miaka mitano iliyopita na kwenye kampeni za uchaguzi ambao hata hivyo wananchi hawakumpigia kura za kutosha.
 
Unanichekeshaga sana mkuu!!

Ila Asisahau kunya glucose maana Chadema wakitoka ukumbini ngoma inaweza kuwa noma....................!!!

Ukizingatia TZ ni Matonya (Omba Omba), na tunapenda kuonekana kisiwa cha amani kwa unafiki!! ndo maana jamaa alibembeleza sana tusahau tugange yajayo!! kweli wakitoka itamuuma sana, si checkibobu na alisema atashinda kwa kishindo anakubalika!!
:rip::rip::rip::A S angry:
 
Kama wabunge wa Chadema wamekula kiapo cha kuitambua katiba, then wanamtambua Rais. Maneno ya kutokumtambua ni siasa tu za barabarani, na itadhihirika leo kwa sababu watakuwepo kumsikiliza Rais wa nchi.
Ewe mwanachama usidanganyike! "akili za kuambiwa,...".
 
wakuu nipo sehemu chemba busssy lakini nna kisim changu nakula JF ..some time natabasama pembeni mwnguruwe wananishangaa. Asante wakuu kwa kutu updates
 
Kama wabunge wa Chadema wamekula kiapo cha kuitambua katiba, then wanamtambua Rais. Maneno ya kutokumtambua ni siasa tu za barabarani, na itadhihirika leo kwa sababu watakuwepo kumsikiliza Rais wa nchi.
Ewe mwanachama usidanganyike! "akili za kuambiwa,...".

nenda ukanywe maziwa mgando huko
 
Back
Top Bottom