mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,385
- 681
Kuna tetesi pia Wabunge wa chadema watasusia hotuba ya Jk Jioni..
Wanabodi,
leo ndio namalizia ile live ya ufunguzi rasmi wa Bunge la 10 unaofanywa na Rais wa JMT, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kama ni kufurika, leo ndio Dodoma imefurika. Wakuu wote wa vyombo vyote vya Umma wako Dodoma, hapa bungeni ndio hapafai kabisa maana hata makundi ya malobbyst wote wako usawa huu.
Leo ni hadi magari ya wanabalozi, baada tuu yakuwashusha, wamefukuziwa mbali wakajitafutie maeneo ya kuegesha kule nje ya ukumbi wa Bunge, ng'ambo ya barabara, eti ndani hapatoshi!.

Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!
Kususiwa na Chadema hakumfanyi kutokuwa Rais!
Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!
sahihisho hapo mkuu sio rais wa JMT:nono::nono::nono: ni rais wa NEC!
Wengine wamekuja kumshangaa rais mwizi.Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!
...eti ndani hapatoshi!.
sahihisho hapo mkuu sio rais wa JMT:nono::nono::nono: ni rais wa NEC!
Huelewi na hutaelewa sijui unafanya nini humu. Kweli ni rais wa NEC hakuna anebisha lakini si rais wa Watanzania kwa maana wengi hawakumchagua.
Kumbe Rais anakubalika !Mie nilifikiri atasusiwa!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbali mbali wamekuja!
Ni kweli kabisa maana hata wana CCM wengi wanaiunga mkono Chadema, na walitupa kura za kutosha kabisa na tuko nao kwenye harakati za kumtoa JK, angalia Kyela, Shinyanga, Ubungo etc. mimi kuna wana CCM damu damu nawafahamu na wanazifagilia sera za chadema kinoma.