Dodoma: Harambee iliyoendeshwa na Dkt. Magufuli yapelekea ukamilishwaji wa msikiti mkubwa

Mkoloni mweusi kaburu tokea chato anatapatapa hali ni tete watanzania wameamka wanataka HAKI wamechoka kubambikiwa kesi kesi uonevu unyanyasaji kupigwa risasi
My friend amini nakuambia huyo kibaraka wa wazungu lissu mbeligiji hatoboi,kamwe nchi haiwezi pewa watu wa aina ya lissu
 
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mashehe wa Bakwata wanapenda Pilau kuliko HAKI.
 
Back
Top Bottom