Taarifa Kwa Umma: Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwa Mgeni Rasmi Ufunguzi wa Msikiti wa Chamwino Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
Ufunguzi rasmi wa Msikiti huo wa Chamwino ambao harambee ya Ujenzi wake iliongozwa na Mh Magufuli utafanyika kesho Oktoba 24, 2020 kuanzia mida ya mchana

Karibuni Nyote

Taarifa hii Muhimu imetolewa na Ofisi ya Mufti
 
Back
Top Bottom