Dodoma hali si shwari, Diamond akaribia kusababisha maafa makubwa

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,689
Kwa habari nilizopenyezewa Dodoma kumetokea hali ya kutisha baada ya Diamond kupanda jukwaani na mashabiki kuchanganyikiwa na kuanza kukanyagana.

Naambiwa watu walikuwa wengi sana kwenye show kiasi wengine wamezimia na inasemekana............

Mlio huko tupeni taarifa ya uhakika nini haswa kinaendelea.
 
Naambiwa ??????? Duuuuuh sa si bora Aliyekuambia Akupe Full mkanda
Nazidi kuambiwa sasa Diamond ameanza kazi ya kubembeleza watu watawanyike kwa sababu za kiusalama maana hali ni mbaya ila watu wamegoma.

Ngojea nipate zaid kisha nitarudi.
 
Vipi na kuhusu ile show ya nyumbani kwa jirani ilikuwa kama hii?
 
Mambo yatakuwa shwari tu shoo iko chini ya mdogo wangu le mutuz hakialibiki kitu
b5a812db50ac6e9bd4418a7e4f8f1aa0.jpg
128a81f2b28f2c460c6ed726b49e0482.jpg
 
Hamna kitu kama hicho.
Issue ni kwamba baada ya diamond kuomba nyimbo kama tatu hivi akapendekeza watu walio kaa mbele karibu na jukwaa wasogee mbele zaidi ili waweze kucheza naye vizuri but hiyo kauli ili wafanya madenti wote wasogee mbele na hivo kusukumana kidogo.
Ila thanks God hiyo issue ilikuwa solved and no one was injured.
Source. Mie mwenyewe nilikuwa eneo la tukio pamoja na mawaziri wawili wa JPM
 
Bila shaka atakuwa Nape na February
 
Asante kwa clarification mkuu.
 
Nilijua tu hilo litatokea,kama kwa kiingilio kikubwa tu watu wanajazana hadi wanashindwa kupumua sembue hiyo ya bure.
 
tumetoroka lecture, tunamuangalia Simba wengine tulikuwa tunamuona insta.....Shule ipo diamond akiondoka tutamuinea wapi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom