jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,776
- 1,619
Wakuu habari za asubuhi,
Nipo Dodoma mjini kabisa ila cha kushangaza sipati 3G ya Vodacom, tatizo ni nini? Natumia huawei ascend G730, kama kuna anaefahamu namna ya kui set manually naomba anielekeze, asanteni