Kuna Kilimani club ambayo choo zake huwezi ingiaHakuna stand ya mabasi.
Hakuna stand ya daladala.
Hakuna uwanja wa ndege.
Hakuna miundombinu ya maana.
Hakuna hata 5 star hotel hata moja.
Wenye mengine mtaongezea.
Inauma lakini ndio ukweli hasa kwenye ombaomba na ujinga wa wenyeji. Mtaji mkubwa wa kijani, kwa tangazo la jana kwa ujinga wanafuraha ajabu ukiwauliza mtapata nini, hawana jibu.Kuna Kilimani club ambayo choo zake huwezi ingia
St. Gaspar 185,000/= chumba ila asubuhi huruhusiwi zaidi ya sausage moja na yai moja.
Stand imehamishiwa kusikojulikana hivyo wakazi wa Dodoma mtajiju nikiwemo mimi pia.
Chako ni chako hivi bado ipo? NK kijiwe chetu cha early 90s nasikia imekufa ila mimi sijaenda disco miaka.
Ombaomba tunazalisha mpaka tunasambaza mikoa nyingine wakati mvua zinanyesha na tuna uwezo wa kuvuna chakula cha kutosha ila sababu ya kuendekezwa na khanga, kofia na tshirt za njanao, kijani na black hatununui nguo wala kununua chakula tunajua Ijumaa mtatupa tu!!!!!
Kwa hyo nyie(wewe na mwenzio hapo juu) imewauma sana dodoma kuwa jiji badala ya kwenu moshi?Inauma lakini ndio ukweli hasa kwenye ombaomba na ujinga wa wenyeji. Mtaji mkubwa wa kijani, kwa tangazo la jana kwa ujinga wanafuraha ajabu ukiwauliza mtapata nini, hawana jibu.
Kwetu Dodoma.Kwa hyo nyie(wewe na mwenzio hapo juu) imewauma sana dodoma kuwa jiji badala ya kwenu moshi?
Haya baadae tuonane free pointKwetu Dodoma.
Sipajui mie ni mmoja ya wale maskini ambao sanasana jiji litapandisha maisha na kuendelea kutusukumizia vichakani. Kwa hali ya umaskini wa wenyeji kuwa jiji ni utani mwingine.Haya baadae tuonane free point
Acha utani ww! Musom ipi unayoiongelea?Aise ila imekuwa mapema sana kupewa hadhi ya jiji....
Dodoma bado ni ka mji kadogo sana sikatofoutishi na musoma....
hapana mkuu wasijenge kabisa maana wagogo Kwa kuomba omba ni balaaa wote wataamia kwenye hio milango ukitoka wanaanza kukuzunguka kama nzi wanavyomzunguka mtoto aliejinyeaVile wabongo tunapenda kushop. ... wangetujengea na shopping malls kama hapa SA.
Ila mdogo mdogo tutafika.
Nani wa Moshi kati yetu????? Njoo tukutembeze kwetu Makulu kwa baba na mama, wajomba ntyuka na kwa wakwe zangu mpwapwa na kwingineko. Moshi tena? Unaumwa nini.Kwa hyo nyie(wewe na mwenzio hapo juu) imewauma sana dodoma kuwa jiji badala ya kwenu moshi?
Labda wewe ndio unaumwa nyegeNani wa Moshi kati yetu????? Njoo tukutembeze kwetu Makulu kwa baba na mama, wajomba ntyuka na kwa wakwe zangu mpwapwa na kwingineko. Moshi tena? Unaumwa nini.
Watakujibu watu wa aina yako.Labda wewe ndio unaumwa nyege
Ukiingia Dodoma round about ya kwanza ipo hotel moja safi sana mkoni wa kushoto. Sina picha. Wale wa 4 star hotels hamjambo.Post any Photo from the Capital City, Dodoma!!
View attachment 756871
Mkuu me ni mwenyeji wa Dom, nimezaliwa Dom na nimekulia Dom. Wazazi wangu wapo Dom maeneo ya Nkuhungu. Hata Easter nilikuwepo huko, kiukweli hakuna jiji hapo bali ni siasa tu.Kwani ulipo vipo au roho mbaya tu.......
Uwanja upo
Miundombinu unayotaka ni ya ghorofa 100 au
hotel tunayo Morena, nashera, whitesands inajengwa, st. Gasper hotel, dodoma hotel,
hapana mkuu wasijenge kabisa maana wagogo Kwa kuomba omba ni balaaa wote wataamia kwenye hio milango ukitoka wanaanza kukuzunguka kama nzi wanavyomzunguka mtoto aliejinyea
hivi nani atapewa gari na akasema hawezi kuchukua kwa sababu hawezi kuendesha?Mkuu me ni mwenyeji wa Dom, nimezaliwa Dom na nimekulia Dom. Wazazi wangu wapo Dom maeneo ya Nkuhungu. Hata Easter nilikuwepo huko, kiukweli hakuna jiji hapo bali ni siasa tu.
Hata taa za barabarani hamna, hata zile zilizopo haziwaki inapofika usiku.
Kuna viwango vimewekwa vya sheria za serikali za mitaa kwa municipal kuwa jiji, tuache ushabiki maandazi tuongee facts.
Tembeeni muone, fika hata Nairobi au Harare mkuu. Ukistaajabu ya Diamond utayaona ya Wema Sepetu.
Upuuuuuzmasikini wee! haya kumbukeni hata Roma haikujengwa siku moja!
wapo watu wamefanikiwa kulipa ada za watoto wao mwaka huu kwa posho za dodoma halafu wanakuja hapa kudharau!
wacha uanze kisha mabadiliko yatakuja hatuwezi kufananisha mji huu na miji ya wazungu kwanza hata vipaumbele vyetu havifanani na wao hawafanani na sisi muhimu tunajua tunapanga mji mkuu katikati ya tanzania kwa maslahi ya watanzania leo na siku zijazo.