Bundi Wa Giza
Member
- Apr 24, 2018
- 32
- 21
Post any Photo from the Capital City, Dodoma!!
Wacha dharau umeona upost kipicha kimoja tu!!Post any Photo from the Capital City, Dodoma!!
View attachment 756871
Samahani bundi giza naomba uombe msaada watu wakuusaidie kuweka picha maana unaweka tupicha tudogo sana na vya quality ya chini mno...Post any Photo from the Capital City, Dodoma!!
View attachment 756871
Fanyeni hiyo, pia nitajitahidi kueditSamahani bundi giza naomba uombe msaada watu wakuusaidie kuweka picha maana unaweka tupicha tudogo sana na vya quality ya chini mno...
AiseeAise ila imekuwa mapema sana kupewa hadhi ya jiji....
Dodoma bado ni ka mji kadogo sana sikatofoutishi na musoma....
Nyerere SquareView attachment 756875
Ni upuuzi tu, mji hauna sifa yoyote yakuwa jiji, mama wa pesa ya mboga alisema, miji mingi Tanzania inaharibiwa na siasasabab hasa ni zip



Hahah, Kondoa ipo mkoa gani? HahahahWarangi ni wa Dodoma City? Kondoa? Na wagogo je?
Wana ruhusu kupiga picha hapo kwenye iyo bikiramaria?Wakazi wa Dodoma naomba huu mji sasa tuuite DC tu, itapendeza zaidi ya Dom City.........
View attachment 756896