Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaendelea leo Januari 28, 2026 bungeni jijini Dodoma.
Miongoni mwa shughuli za leo ni Waziri Mkuu kuwasilisha Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa Bunge uliopita.
Aidha, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu pamoja na muendelezo wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati akifungua Bunge la 13, ambayo ilieleza muelekeo wa serikali yake.
Pia, kutakuwa na uchaguzi wa Wenyeviti wa Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao watakuwa wakisaidiana na Spika kuendesha shughuli za Bunge.