Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
241
Reaction score
591
Basi la kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza lateketea kwa Moto wakati linakaribia Dodoma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa kwa majanga hawajambo. Kuna kipindi walifungiwa kabisa.
 
Unakimbilia wap Kwan kutoa taarifa wa kwanza Ndo unalipwa
 
Leo Ni siku ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 28/10/2020.

Nakumbushia tu.
 
Kafara za uchaguzi zmeanza sasa. Ajar zitafayana kipind hiki kama bata na watoto zake
 
Hivi hii video nimeiona mimi pekeyangu tu...
 
Ndugu yangilu alikua humo moto umeanzia kwny tairi ya nyuma posibly breki zili jam
 
Back
Top Bottom