Makanda Member Oct 29, 2010 77 2 Nov 1, 2010 #1 Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,072 Nov 1, 2010 #3 Nafikiri mzimu wake ulikuwa unafanya kazi pia huko si mchezo mwaka huu
Quinty JF-Expert Member Mar 25, 2010 462 74 Nov 1, 2010 #5 Inafurahisha kuona watanzania wenzetu wa Bahi wamepima sera na si umaarufu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,173 Nov 1, 2010 #6 Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu. Click to expand... Upepo wa mageuzi ukianza kuvuma tu basi huvuma kila mahali haijalishi kama mgombea alifika au la hasha......................
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu. Click to expand... Upepo wa mageuzi ukianza kuvuma tu basi huvuma kila mahali haijalishi kama mgombea alifika au la hasha......................