Elections 2010 Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga

Makanda

Member
Oct 29, 2010
77
2
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.
 
Inafurahisha kuona watanzania wenzetu wa Bahi wamepima sera na si umaarufu
 
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.

Upepo wa mageuzi ukianza kuvuma tu basi huvuma kila mahali haijalishi kama mgombea alifika au la hasha......................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom