Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
King'asti kwa mtizamo wangu umegusa shina la tatizo ... its all in the mind... Lakini who planted it there... Yeye mwenye..or trying to empress? kwani ni muhimu kujua hilo ..if we are to get the real remedy!Vivian,ugonjwa unaanzia kwenye kuwaza kuongeza makalio,whether naturally ama artificially! What is wrong with hayo uliyonayo, hayatoshei kukaa? Manake kazi ya makalio ni kukalia tu! Wote wehu, mwingine analipia gym laki kwa mwezi ayapunguze ya kwake, mwingine anaenda kutafuta nyongeza! Kha!