Do You Wait For Your Spouse Before You Eat?

Do You Wait For Your Spouse Before You Eat?

whatever's going on, sad..eating together is supposed to be a FAMILY THING (dad,mom,kids) it makes a strong,loving family. Eti kids eat at 7p, mom 10p and then she goes straight to bed, and dad eat at 5am?!!, thats why parents wana vitambi visivoisha

mkuu umeongea ukweli
 
Money stunna inafikia hata wana ndoa wana account benki moja lakini hawakutani hata siku moja hapo ndo ujue balaa imeshaanza home.

wengi mapenz yanapoanza ula pamoja wanasubiriana kama mme naye atawai kurudi,lakin siku zikiendelea uko mbele,mme anachelewa kila mtu anakula kivyake,inafikia hatua wanakula kwa hotel kila mtu kivyake,ndani ni kulala tu
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na lifestyle ya wanandoa wenyewe sasa mfano mume au mke mlevi anarudi home kuanzia saa sita onwards unataka kunambia the whole family watakaa kumsubiri yeye tu?hell no!
 
Inategemea na lifestyle ya wanandoa wenyewe sasa mfano mume au mke mlevi anarudi home kuanzia saa sita onwards unataka kunambia the whole family watakaa kumsubiri yeye tu?hell no!

inabidi waish kama mwanzo kama mwanzo hakuwa mlevi alikuwa anawai basi aendelee kuwai,labda kama toka mwanzo alikuwa mchelewaji,kuna wengine ndoa inapoanza anawai akishakuchoka anaanza kufanya vyovyote akijisikia
 
Ni vizuri mkisubiriana hata kama si kila siku basi kadri muwezavyo. Inapendeza pia kula na watoto...
 
Wanaume ninaowajua wanaosubiriwa na wake zao ni ma dikteta; si kwa kuwa wake zao wanawapenda saaana...yani ni marufuku kula kama baba hayupo...hivyo mi naonaga ni old fashion tu nikisikia mtu anasema mume wangu hawezi kula mpaka nile nae.

It seems nonses, eating 2gether does not signify how much u lv ur cauple, co i dont see logic waiting each other 2 eat.
 
Mi nimefundishwa ni tabia mbaya kuzurula wakati wa kula; sasa hapo mwenye kosa ni huyo anayekuwa anapuynga night kali.

Mtu uugue madonda ya tumbo eti uunamsubiri mtu ule naye...nani kasema; nashukuru Mungu mume wangu akichelewa (mara chache sana and with good reasons) ndio kwanza anapakua msosi mwenyewe na kuja kula pembeni yangu kitandani...mume ni rafiki bana siyo Bosi
Ni vizuri mkisubiriana hata kama si kila siku basi kadri muwezavyo. Inapendeza pia kula na watoto...
 
Mi nimefundishwa ni tabia mbaya kuzurula wakati wa kula; sasa hapo mwenye kosa ni huyo anayekuwa anapuynga night kali.

Mtu uugue madonda ya tumbo eti uunamsubiri mtu ule naye...nani kasema; nashukuru Mungu mume wangu akichelewa (mara chache sana and with good reasons) ndio kwanza anapakua msosi mwenyewe na kuja kula pembeni yangu kitandani...mume ni rafiki bana siyo Bosi

Ubarikiwe na abarikiwe...!!!
 
Back
Top Bottom