Do you think she's beautiful?

Do you think she's beautiful?

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,848
Do you think she's beautiful?
attachment.php
 

Attachments

  • think.jpg
    think.jpg
    33.8 KB · Views: 1,624
sikuamini nilichokiona baada ya kugeuza picha.................................!
 
Teh teh teh mkuu huyo yupo kama bibi yangu . Umenikumbusha wacha kesho nikamcheki.
 
Duh! Nahani ni mwanamke mbaya ambaye sijawahi kumuona katika maisha yangu.
 
Mtoto poa sana huyu.

Kwani wapi utatokea umuangalia wewe au yeye akiwa UPSIDE DOWN?

Nipeni anwani yake kama ni AVAILABLE, hihiiiii 🙂
 
Aisee mkuu x paster ndo shemeji yetu nini ?
 
duuh umenipata kwa kweli,i thought she is so cool but after following your instructions i doubt,
 
effect ya konyagi hiyo....ukiwa sobber anaonekana mbaya ukipiga bapa mbili she looks like an angel
 
Jamani monitor yangu ni zile za zamani, ni nzito haigeuziki
 
It makes sense... her eyes and lips were not turned upside down. So when we look at the picture we see hem in their normal position and we love them. then when we turn the picture, we see her other features in their normal position except for the eyes and lips and she looks ugly
 
aaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!. No comment,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom