Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
category ipi sasa?
Mi ni 5, but napokea laki elfu ishirini na tano.
Huwa inabadilika kutegemea na majukumu yaliyopo lakini huwa ni kati ya namba mbili na tatu. Nimeacha kabisa tabia ya kutumia bila kuweka akiba.
Na manunuzi ya papo kwa hapo nimeacha na ninajivunia sana uwezo wangu wa kujidhibiti mwenyewe.
Safi hiyo. Kama pato ni la maana akiba ni akiba tu.
Sasa imagine 10 percent ya pato langu lile?
Kama huna expenditures nyingi inawezekana Mwali....
The rule of thumb is your expenditures should never exceed your income.
so can you borrow me some cash..
Is no save = deficit?
Raki mbiri tu...
Nitumie kwa M-pesa
Mweeeeeeeeeee......naogopa kupewa pesa
mie mshahara hata haufiki nusu mwezi, ila sijawahi lala njaa. Sijui hata naishije.
Dah!kumbe tupo wengi,hata ukiniuliza hua inakuaje hata cjui!
Tupo wengi sana.. Yaani shida ni nyingi kuliko tunachoearn...
Kama huna expenditures nyingi inawezekana Mwali....
The rule of thumb is your expenditures should never exceed your income.
Nyie achen tu,alafu maisha yanaenda tu hata cjui huwa inakuaje na hili ni la wengi aiseee!