Hahaha! Mi ni shahidi upande wa AD! Am watchng you!..<br />
<br />
Lakini SweetLady , umesema labda natiksa kichwa ... kaaaribu unapatia na ninahisi kweli unaupenda ..SASA ..Ona Mimi natiksa kichwa ... wewe unakubembeleza ..unganisha iwe picha moja... .Lol! <br />
<br />
Mueleze ADii ..Bado anataka ni Upload?? Lol
kisomo cha watu wazima.?
no comments..lol
Sangara nimeipenda hii... For it seems you had fun, after all ilikua New year.... Ila umeacha detail moja ya muhimu... Ulikua unacheza peke yako?? Maana huo wimbo huo....
hahaha, u should have seen me wifi,lol! im craving for such fun again, ila this time around i will watch out my shoes,lol! ntavaa yeboyebo!
ooooh!! Wifi I know how you can shake them hips....lol... The imagination inanifanyia kazi zooote....lol.. Mie hata nikivaa high heels sioni aibu kutoa...
afu hii tabia ilikatazwa kwa uzi maalum kabisaa! kwani wewe hujui memkwa (mpango wa elimu ya msingi kwa walioikosa)? Viva la JK! Na mie nshomile sasa,lol!
Umeamua kumtetea AJ?achana nao hawa,hawajui kuna zile za kucheza huku umekumbatia mto na kufunga macho,lol
Hahaha! Mi ni shahidi upande wa AD! Am watchng you!..
No no sweetLady huwezi kuni dump at this time ... Tutengeneze Picha Bwana..!! Lol the song is good ... usiukate kila mtu anajua its your favorite ..
tatizo them hips ukiwa peku kama kuku hazitoi ushirikiano wa kutosha. take for example, charanga,lol! bt mid-height shld be good enough
Uko nae mpaka leo??....lol
Ole wake Clip isije na tulivyokodoa macho..yan ntakushauri mimi ndo niwe wifi yako badala yake..lol.. Hawezi kutuzibia rizik kimacho macho!Mie simuelewi kabisa Wifi King.... anamuonea huruma sijui??
Ilikuwa na kucheza tu...hata cjui whereabouts zake...i just remember the night(dance)...so hiyo red haipo.
Back to you now...tupe uzoefu wako.
I see.... Ok... mine ilikua kwenye harusi... tulikua ndioa akina mama wa jikoni twapika pika... then walikuja wanandugu (wa bibi harusi) kutoka kijijini kwa mbwembwe, kelele, ngoma na a lot of heartfelt singing... ilikua impressive... ni the type of Ngoma yeyete aweza imitate kucheza... I danced like mad... and really enjoyed those brief twenty minutes... nakumbuka siku hio i was soo tired wala ukumbuni sikucheza kivile... ilikua Mwaka jana (2010) june....
wadhani ni nini kilikudrive ukacheza kiasi hicho? waweza taja ni nyimbo gani walikuwa wanaimba? kama waweza taja kabila ni vyema zaidi.