Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Obama 2012..... St. louis county.

Nipo kwenye team (volunteer).

Natisha!!!!!
 
Mimi Mwali kusema ukweli, pamoja na kupitia changamoto nyingi hadi sasa, naweza kusema kama kila ninacho kusudia kupata hua sikikosi... ANYTHING (so far). :first:
 
Hongera saana Mabagala.... siku nyingi hatujagongana.... Habari ya siku?
Njema kabisa AshadDii uachage mamichemsho na aina nyengine za mapishi ya nyama, au nyama kwa ujumla kabisa. kuwa na upendo kwa wanyama, nitakusifia kwa hilo
 
Mimi Mwali kusema ukweli, pamoja na kupitia changamoto nyingi hadi sasa, naweza kusema kama kila ninacho kusudia kupata hua sikikosi... ANYTHING (so far). :first:
Ndio maana ukaitwa Mwali....:eyebrows:
 
Mimi Mwali kusema ukweli, pamoja na kupitia changamoto nyingi hadi sasa, naweza kusema kama kila ninacho kusudia kupata hua sikikosi... ANYTHING (so far). :first:

na ukishakipa u feel bored au?
 
Well, my peers say I have the potential of being among the top readers and scholars in Africa.
 
hongera kwa kupungua

inahitaji displine sana
mie nimepunguza kama 8kg for 2 months
hadi nifikie lengo

Sifa jisifie, wasiokuweza wachukie.

Mimi. . . nimejitahidi kupungua. . bado kama kilo 10 hivi na mie nivae size 4 nipate cha kiringishia zaidi.
 
Obama 2012..... St. louis county.

Nipo kwenye team (volunteer).

Natisha!!!!!

Soby kweli unatisha.....lol... Hongera bana....

been a while... how have you been?
 
Mimi Mwali kusema ukweli, pamoja na kupitia changamoto nyingi hadi sasa, naweza kusema kama kila ninacho kusudia kupata hua sikikosi... ANYTHING (so far). :first:

That much I can attest dear..... Keep on keeping on Love... BTW saizi kitu gani umekusudia ukipate?
 
Njema kabisa AshadDii uachage mamichemsho na aina nyengine za mapishi ya nyama, au nyama kwa ujumla kabisa. kuwa na upendo kwa wanyama, nitakusifia kwa hilo

Dah!!! Naomba nisikuahidi kwanza.... ngoja nijaribu, au sio Mabagala?
 
Back
Top Bottom