Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
naskia ww photogenic
brag
Hongera sana MadameX! Kweli hilo ni lakujivunia... 😛oaNajiamini kama mimi ni SHE wa ukweli.....
Umebadili avatar Mkuu? I liked the other more. Labda coz I was used to it...Mimi najisifu kwa Tabia ya kupenda kutafuta mtu wa kumpa credit kwa kila nifikiapo kile kinachoaminika kuwa ni success, na pia najisifu kwa tabia ya kupenda ku-save others faces na kubeba matatizo yao.
Na katabia kingine ni kale kakujipenda nilivyo na kirizika na ya kwangu matatizo.
Lol, umenikumbusha rafiki yangu fulani, she is so photogenic! alafu nikimuuliza how she does that (look gorgeous on every picture) anasema ukitaka kupendeza fanya macho 'kama unachungulia'... lolumenikumbusha aisee.. Umejuaje.. Nikiweka na monalisa smile pale basi weeeeh...
Siri nakunong'oneza
leo usiku kanambia anamfukuza, eti analowesha bed.
Ndo ivo.
King, Kongosho anamzushia mwenzie coz she's jealous! The Boss is on honeymoon with Michelle, yeye kaambiwa lini hayo ya kulowesha bed? lol :lol:Aisee, umbea nafasi! Kumbe Michelle ni wa bukoba eeh? Muache amtoe jasho, si anajidai mjanja? Mjini kugumu!
King, Kongosho anamzushia mwenzie coz she's jealous! The Boss is on honeymoon with Michelle, yeye kaambiwa lini hayo ya kulowesha bed? lol :lol:
ujue ntakutumia radi ya 1500
kali sana hii kuliko hata za kalifonia
ngoja nibrag tu japo nilikuwa sitaki, niko nae hapa anamessage miguu yangu.
Raha kama nini
Ile bado ipo around, itakuwa in the return in short coming....Umebadili avatar Mkuu? I liked the other more. Labda coz I was used to it...
Nimependa brag yako. Not only about you but wengine pia... Big Up mkuu!
hahahaha hiyo nimeipenda mwingine unakuta anafanya kama "yupo mbaaali kimawazo" kumbe pozi la picha tu..Lol, umenikumbusha rafiki yangu fulani, she is so photogenic! alafu nikimuuliza how she does that (look gorgeous on every picture) anasema ukitaka kupendeza fanya macho 'kama unachungulia'... lol
Naona vita ya wake wenza imeanza rasmi maana kila mmoja anajivunia kua nae muda wote. lolujue ntakutumia radi ya 1500
kali sana hii kuliko hata za kalifonia
ngoja nibrag tu japo nilikuwa sitaki, niko nae hapa anamessage miguu yangu.
Raha kama nini
Where about, do you travel? Coz kuna safari na safari bwana... lolI was away and a lot has progressed. I brag ...................
I LIKE TO TRAVEL BUT I HATE TO ARRIVE
​And I travel a lot !!!!!!!!!!!!!!!!
Where about, do you travel? Coz kuna safari na safari bwana... lol
neno kuntu
asije kuwa anaenda magomeni kwa babu mapilau akasema anasafiri.
Watu tuna mivakesheni yetu france, spain , miami, barados na huko kwenye miraha
na bado hatubrag na safari
Leo I just cant help it Ku BRAG!!!
NYANI NGABU yule Mwenye Signature ya Miafrika Ndivyo Tulivyo.
kanigongea Like Thread nzima!!! Kaniongeza nyiiiinge kama 28...
Nimelewa kwa Likes.... Sio kwa sababu napenda saana "Like"
BUT sababu they are From Nyani Ngabu... Peope!!!.
Dah! Lucky ME!! :majani7:
Kama ni hivo basi na mimi ni brag for the reputation power alinigongea.
Mbona he is generous sana tu (but unatakiwa kuongea points)