Kushave na kujiangalia kwenye kioo ni tofauti aisee. Mirrors ni vital to getting a clean, close shave. Ni tofauti na kujiangalia kwenye kioo kuona kama umeridhika na uso wako, kama nguo uliyovaa inaendana na shape yako, kucheki shape yako and whether your fat talk.
Could you live a day without looking at yourself? To me, mara ya mwisho ilikuwa nilipoenda kwa kinyozi kunyoa as lazima ukae in front of the mirror. One woman swears off the mirrors for a year. Ukitaka kujua jinsi mwanamke anavyotukana mvizie akiwa mbele ya
kioo. lol
Kongosho kuna sehem inabidi uwe mpole
Imagine umemind mdada halafu wakati unapiga jaramba kumpata ukapata taarifa kuwa mdingi wako anakula pale
Si utakuwa mpole kama maji ya mtungi
Sasa hapo kwa Bishanga inatokea sasa
kama atakuwa tuko kwenye race wote wawili over the same person hapo itabidi nibwage manyanga
Matumizi yao kioo bafuni ni mengi!
Kuna kujiangalia na kuhakikisha huna boogers puani, huna mitongotongo machoni, wakati una floss kuhakikisha sehemu ngumu kuzifikia umezifikia, kuhakikisha midomo haina utando mweupe mweupe, kuhakikisha nguo ulizovaa zimekaa vizuri, na kadhalika, na kadhalika!
He he he
ila kweli
bishanga mwenyewe ni yule
gongagonga wa dodoma
Lolz. . . SURE I can, for days even!!But swearing infront of a mirrow. . that's news to me.Ngoja ntajaribu siku nimekasirika nione kama itanisaidia kupunguza hasira.
Back to you. . .after shaving/a hair cut don't you look at yourself to make sure your new cut looks good on you?
Ohh and ahh when you are heading out. . don't you check yourself out to make sure everything is proper? Utajatembea na zipu wazi. . .shauri lako.Lolz
Kaka inategemea. Sasa kama choo kama hiki nitaweka wapi hicho kioo? Kumbuka bafu ni hapo hapo.
Hahahahaa you can't be serious!
Ila hata chumbani waweza kuwa nacho. Si lazima kiwe bafuni bana...
Hebu niwekee picha ya chumba chako nione
Mi hiyo sitaki bana
Nataka nikuaddress kama mr or mrs,or miss or ms hapo sasa
basi niaddress 'ngwasho'
NN chumba ambacho hapo hapo ni sebule na hapo hapo ni jiko na chumba cha kulala kuna sehem ya kuweka kioo kweli
Hahahahaa you can't be serious!
Ila hata chumbani waweza kuwa nacho. Si lazima kiwe bafuni bana...
Hebu niwekee picha ya chumba chako nione
Ndiyo, inawezekana kabisa!
Watu tushaishi kwenye vi studio apartments na kila kitu kilikuwemo humo humo.
Ndo kilugha gani hicho maana naweza jikuta hapa natukana bure
Yeah ila huwezi kuwa na ule uhuru wa kuangalia part za mwili wakati may be uko na familia
Uso sawa unaweza kukitumia kioo kufanya hivyo
kwa kingereza ni 2 in 1
Hata uso, pua, na nywele utashindwa kujiangalia?
Hivi ushawahi kukutana na mtu mwenye makamasi yaliyokauka yakining'inia kwenye pua zake?
Kujiangalia kwenye kioo kabla hujatoka nyumbani ni muhimu sana aisee.
:lol: :lol: :lol: :lol:
Ukiwa na choo cha hivi
kioo ni anasa
wala hakipo hata kwenye hesabu
boogers, zenyewe unatoa
zinaelekea mdomoni
Hehehehe umefurahiiiiiii mwenyewe!!