Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,115
- 136,850
im stitches
do you start with a b**?
You could be a bitch or a snitch and end up in a ditch! Take that.
i was more interested with where you can end up, ever gave it a thought?
hahaha, i know how to get me out of the ditch before i reach the bottom. and i can brag about that too, handsome ngabu,lol
Handsome wa mama kwa mwaka huu nataka nisome BIBLE Mwanzo mpaka Ufunuo. Mpaka sasa nipo sura ya 16 ya kitabu cha Mwanzo, nasoma sura 4 per day.
How about I come pluck you from the ditch?
Hahahaha!
Asante Mr Rock,
Nilishagundua watu huweka vatara zinazofanana na vitu wanavofanana navo au kuvipenda![/QUOTE]
umejuaje Canta? ugonjwa wangu ndizi naweza kula ndizi january hadi desemba,lunch na dinner.
mi niko poa ndugu yangu,long time no see bana,tusipoteane .Bishanga nini sasa
Au kwa kuwa Avatar yako ya huyo babu wa matoke ndio inafanana na wewe
Mkuu habari yako bana
FF nakukubali kwa saaaaana na ninakiri jf wewe FF ni celebrity numero uno,big up mammaaa!!!!!!!!!!!I brag about being selebriti namba 1 JF. Unanchekesha!
mi niko poa ndugu yangu,long time no see bana,tusipoteane .
(btw kuna mdau nimeanza kumzimia humu ndani sa sijui itakuwaje,let me grind on).
mtaje mkuu tusije tukagongana viwanja!Mkuu nipo bana
mahangaiko ya maisha ila usalama upo wa kutosha
Mi yupo mmoja na nishandaa mashairi nipo page ya kumi nataka niyawasilishe hapa siku ikifika
umejuaje Canta? ugonjwa wangu ndizi naweza kula ndizi january hadi desemba,lunch na dinner.
mtaje mkuu tusije tukagongana viwanja!
Mkuu nipo bana
mahangaiko ya maisha ila usalama upo wa kutosha
Mi yupo mmoja na nishandaa mashairi nipo page ya kumi nataka niyawasilishe hapa siku ikifika
mtu mwenyewe una wivu ka nini,usije ukantilia cyanide! nitakula za valentine wangu,lol!Nina ka ndizi kangu nikuletee?
kongosho we mpotezee aisee,kwanza hajulikani kama ni He au She,vipi nikupe hint?Nikimtaja si atatoroka mkuu
We subiri niandae kwanza mashairi na then nitakuja kamili hapa
hata tukigonggana sio mbaya tutaachiana tuu nafasi mkuu wewe ni mkubwa bana heshima lazima ittangulie mkuu
he he he, pole weye
andaa mshairi kumi
unamaliza kumsomea tu
nabeba mzigo
wewe umempenda unaanzia
oooh, mimi nina kampuni 3
ujue kibaha nina shamba l la hekari 267
Inahusu!!!
kongosho,umeona timbwili la NN vs king'asti hapo juu? sijaambulia kitu,maana huo ung'eng'e mmmmhhhh na mimi dikshenare yangu imeliwa na panya!he he he, pole weye
andaa mshairi kumi
unamaliza kumsomea tu
nabeba mzigo
wewe umempenda unaanzia
oooh, mimi nina kampuni 3
ujue kibaha nina shamba l la hekari 267
Inahusu!!!
kongosho we mpotezee aisee,kwanza hajulikani kama ni He au She,vipi nikupe hint?