Do women orgasm during child birth?

Do women orgasm during child birth?

inawezekana ikawa kweli maana the baby passes through your vaginal canal in the same area that a penis is in during intercourse and can in fact give you a g sport orgasm

Basi hongera zAo aisee
Ile shughuli mie naona haina utamu
Ni kimbembe mwanZo mwisho

Raha ni kumpakata mtoto tu
 
.. fanya mchakato wa kwenda leba mapema sista upate orgasm huko... teh!
.. hayo ni maneno ya hekima toka kwa raisi uliyemchagua... haha!
Hayaa ngoja nijitahidi..!!

Akaa sijamchaguaa
 
Hivi relief ya kutoa foreign body tumboni baada ya too much agony ndio orgasm?

Anyway, nimepush once huenda sina uzoefu wa kutosha.
 
hii inaweza kuwa na ukweli kwa baadhi ya wanawake.

ila kweli jamani, kuna raha fulan ambayo mama huipata hasa pale baada ya kichwa cha mtoto kupita, kisha akajigeuza akaanza kutoa bega moja nje huteleza halafu hutekenya na kuleta raha utafikir uko kwenye kilele cha kibo.

uchungu wa mtoto hasa huwa kwenye first stage, inapokuja second stage kuna raha na uchungu kidogo.

loooh?????
 
Every person is unique. Unfortunately we try to generalize. Hapo ndo matatizo yanapoanzia.
 
Back
Top Bottom