Do we need Press Freedom that can harm Peace?

terrebranche

Member
Dec 6, 2018
13
45
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
 
ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,402
2,000

Free minds huwa hazileti shida kwenye jamii bali corrupted mind.

Hakuna popote pale ambapo uhuru umeleta shida, katika uhuru wapo watakao toa pumba lakini watu watazizarau lakini siku zote matatizo yametokana na baadhi ya wanadamu kudhani wanadamu wengine wanahitaji kudhibitiwa na kuwa wakiachiwa huru wataleta shida. Genecide haikuwa zao la uhuru wa kujieleza bali ni zao la watu wenye fikra kama wewe kuwa jamii fulani tusipoidhibiti italeta shida.

Fikra zako ni za miaka ya late 1980's and early 1990's during colonial error.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,271

Umeandika nini Mkuu?..... freedom and democracy nimuhimu kuleta maendeleo, wala maendeleo hayaleti democracy (simple political science)
 
Mkuu nimeandika press freedom must be regulated. Naomba usome vizuri hapo juu.
 
danimutta

Senior Member
Nov 4, 2011
178
250
Indeed! If you propose to restrict press freedom just like they do in North Korea as the best way towards achievement of development, then your mindest belong to long gone centuries. Pole sana.
 
terrebranche

Member
Dec 6, 2018
13
45
Umeandika nini Mkuu?..... freedom and democracy nimuhimu kuleta maendeleo, wala maendeleo hayaleti democracy (simple political science)
Nimeandika hicho ulichokisoma. Ni bora ukasoma vizuri na kuelewa chapisho badala ya kujibu kitu ambacho hakikuongelewa. Nimeandika Press freedom must be regulated.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,271
2,000
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
"Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace"

This a common pretexts used by dictetor to extend their iron fist on the press and innocent citizens.......word "regulate" is abroad word that requires many questions: what to regulate who to regulate and when the regulation should be done? Dictetors use that loopholes to curtail press freedom which is bad.
 
terrebranche

Member
Dec 6, 2018
13
45
Indeed! If you propose to restrict press freedom just like they do in North Korea as the best way towards achievement of development, then your mindest belong to long gone centuries. Pole sana.
I never put something like press freedom...North Korea.... When you respond to my post try to read and understand what was originally posted rather than putting something new to my post and respond to.
 
terrebranche

Member
Dec 6, 2018
13
45
"Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace"

This a common pretexts used by dictetor to extend their iron fist on the press and innocent citizens.......word "regulate" is abroad word that requires many questions: what to regulate who to regulate and when the regulation should be done? Dictetors use that loopholes to curtail press freedom which is bad.
The correct word is REGULATION. if this word is too broad to represent the meaning that is the problem. Any state would not leave the press freedom unregulated.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,271
2,000
The correct word is REGULATION. if this word is too broad to represent the meaning that is the problem. Any state would not leave the press freedom unregulated.
What do you really "regulate" when press is controlled by professional journalists.....its nothing but political panic and lack of leadership confedence of our leaders.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,411
2,000
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
Hayo ni mawazo ya kijiwe Jiwe........

Kwa kuwa yeye anaamini kuwa yeyote anayekuwa "against him" basi si mzalendo na ni msaliti na anatumika na mataifa ya nje kutaka kutuletea ubeberu mpya

Zishindwe hizo fikra potofu
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,802
2,000
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
Uhuru na amani vyote vinawezekana kuwepo kwa pamoja, si lazima ku compromise kimoja ili upate kingine!
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,640
2,000
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
terrebranche you are mixing up issues. In Rwanda the genocide was initiated by the ruling elites who didn't want to allow room for others to exercise their democratic rights. They used the press especially government owned, not the freedom of press, to perpetrate their ill intentions and incite unsuspecting citizens to kill their fellow compatriots based on their tribal affiliations.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,589
2,000
Uhuru wa kweli wa mwanadamu ni uhuru kufikiria basi-Pascal Mayalla.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
13,127
2,000
Unataka kusema kuwa Rwanda ilikuwa na uhuru mkubwa sana wa kujieleza hadi waandishi wao wakautumia kueneza chuki zilizosababisha mauaji. Au unataka kusema Tanzania tuna uhuru mkubwa sana kiasi kwamba Musiba anautumia kupaka wenzake matope? Makosa ya waandishi yatofautishwe na uhuru wa kujieleza na yakaamuliwe mahakamani lakini si kutunga sheria za kubana/kuregulate uhuru ili kuzuia makosa ya waandishi.
 
Semistocles

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,940
2,000
Pamoja na kuandika kwa Kiingereza chako dhaifu lakini haujafanikiwa kuuziba ujinga wako usionekane. Umeandika ujinga ujinga mwingi sana. Andika Kiswahili tu.

Uhuru wa vyombo vya habari hajauwahi kuwa tatizo mahali popote duniani.

Uhuru wa vyombo vya habari unaleta tatizo pale tu ambapo MAOVU yanafichuliwa. UFISADI, RUSHWA, MAUAJI, UVUNJIFU WA KATIBA, UDIKTETA, NA UPUMBAVU WA VIONGOZI.

Hayo yote yakishafichuliwa na vyombo huru vya habari, ndipo watu wanajaa chuki kubwa dhidi ya viongozi, na ndipo hapo hapo viongozi nao wanatafuta namna ya kuvidhibiti hivi vyombo vya habari kwa kisingizio kuwa eti UHURU UMEZIDI.

Kama unatenda na kuongoza kwa haki, HAUNA HAJA YA KUOGOPA VYOMBO VYA HABARI, kwasababu hakuna uovu wowote unaouhofia kufichuliwa.

FIKIRI UPYA ACHANA NA HAYA MAPUMBA PUMBA UNAYOANDIKA HAPA!

UMEKUNYWA CHAI LEO?
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
8,588
2,000
Regulated by who?
Hakuna haki itatendeka pale ambapo mlalamikaji ndiye anayeshataki na kutoa hukumu.Mahali popote pale ambapo sheria,makosa na haki vinatafsiriwa nje ya mahakama ni udikteta.
Freedom of the press has to be regulated to avoid unintended outcome that can harm peace. Peace is paramount to any country before the country achieves democracy. We saw what happened in RWANDA - Genocide. We don't need this to happen in our beautiful country #UhuruWakujieleza #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania
 
ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
683
500
By allowing freedom of expression will leave you free other advantages it enhances transparency,and accountability thus no need to fear.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom