Do not understimate the power of a woman.......!!!!!!

Do not understimate the power of a woman.......!!!!!!

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
310030_472605109466529_380591092_n.jpg
 
Halafu utakuta baba yuko kwenye kilabu ya mapuya hana hata habari.
 
baadae mtoto akizaliwaga wachovya na kusepa watakwambia mtoto wangu au mimba yangu,heshima kwa mama.
 
Alaaaa chezeya mwanamke wewe?wanawake ni nouma we mpaka shaggy akawaimbia strength of a woman unafikiri shughuli ndogo hiyo?Nothing like Ma in this world.
 
Na akifika home kazi mtindo mmoja! hakuna kupumzika ikifika usiku jamaa linasubiri mmmhh. kweli Mama ni Mama tu!
 
So amazing how this world could be, I wonder if god is a woman! Maneno ya Shaggy hayo!
 
There's no way I can pay you back
But the plan is to show you that I understand
You are appreciated
Lady...
Don't cha know we love ya? Sweet lady
Dear mama
Place no one above ya, sweet lady
You are appreciated
Don't cha know we love ya?
 
Back
Top Bottom