Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Oct 8, 2012 #3 Kawalia timing tu hao, ngoja wajipange, atakula kichapo na kupolwa huyo dem.
ndenga JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,898 Reaction score 1,585 Oct 8, 2012 #4 Kwenye hizi issue hata hizo nguvu sijui zinatokea wapi...
Tram Almasi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 748 Reaction score 227 Oct 8, 2012 #5 Hawa jamaa hawakujua kama wanachezea mali za Nikolai Valuev? Wmekiona cha moto sasa. Chezeiya mali ya Boxer wewee?
Hawa jamaa hawakujua kama wanachezea mali za Nikolai Valuev? Wmekiona cha moto sasa. Chezeiya mali ya Boxer wewee?
Tram Almasi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 748 Reaction score 227 Oct 8, 2012 #6 ndenga said: Kwenye hizi issue hata hizo nguvu sijui zinatokea wapi... Click to expand... Hii kitu hii kitu! Inaweza ikakufanya hata ukafa manake. ubavu mdogo lakni utataka kujitutumua na kuionyesha hyo kibox manyoya kwamba unaweza!
ndenga said: Kwenye hizi issue hata hizo nguvu sijui zinatokea wapi... Click to expand... Hii kitu hii kitu! Inaweza ikakufanya hata ukafa manake. ubavu mdogo lakni utataka kujitutumua na kuionyesha hyo kibox manyoya kwamba unaweza!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Oct 8, 2012 #7 Hahahaha kawazibua lol
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Oct 8, 2012 #8 Dah...mbele ya demu hakuna mnyonge..hivi ile kitu ina siri gani down there?
Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 777 Oct 8, 2012 #9 nyabhingi said: Dah...mbele ya demu hakuna mnyonge..hivi ile kitu ina siri gani down there? Click to expand... Muulize Sani Abacha!
nyabhingi said: Dah...mbele ya demu hakuna mnyonge..hivi ile kitu ina siri gani down there? Click to expand... Muulize Sani Abacha!
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Oct 9, 2012 #10 usimchezee njembaa akiwa na mamaa, hata akiwa na mwili mdogo anaweza tuna kama tembo,
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Oct 9, 2012 #11 mbara said: Muulize Sani Abacha! Click to expand... Huyu jamaa habari yake ni kubwa aisee