Do not call me sexy....

Sex ina maana ya jinsia aidha ya kiume au kike ,ndio maana unaweza kuulizwa your gender au your sex

Sex pia ina maana ya kuingiliana

Kutombana kunakujaje bila ya gender ase

Msingi wa neno sex ni nini?
 
Ebana eeh...si nimeshakwambia mvuto wa mahaba...hanjamu...muhu....ashiki...

Au hujaona?
Neno sex lina maana kubwa mbili
1. Jinsia ..sex (Noun)
2. Jamiana..(verb.)

Neno sexy(adj) limetokana na sex ya jinsia ambayo ni noun na sio sex ya kujamiana. English ya Zamani adjective ya sex ilikuwa sexful but lilibadilika na kuwa sexy badala ya sexful.(fonology ilichukua nafasi yake katika mabadiliko)
 

Hata sijakuelewa!


Kwa hiyo Kiswahili cha sexy ndo kutombwatombwa?
 
Hata sijakuelewa!


Kwa hiyo Kiswahili cha sexy ndo kutombwatombwa?
napinga sexy sio kutombwa tombwa.
Nilichomanisha hapo juu ni kwamba..
Neno sexy not derived from sex ya kujamiana. But from sex ya jinsia.

Hivyo, sexy ni mtu mwenye mvuto katika jinsia yake husika.
 
Nadhani nyani ngabu yupo sahihi aliposema ni muhimu kuangalia muktadha utajikuta unapotoka ukitaka kuyachambua MANENO. Ni mazingira yanasababisha ukali au upole WA MANENO kuonekana. Dunia ni moja culture tofaut hata ule mwitikio WA mapenzi ni tofaut. Hivyo neno kutomba linachukuliwa Kwa hisia tofauti Kwa kila jamii.
 

Kiingereza: You are sexy
Kiswahili: Upo kimtombomtombo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…