Do not call me sexy....

Lugha iko hivyo. Ina maneno yanayopunguza ukali wa maneno yanayoonekana ni makali.

Mdada kuwa sexy tafsiri yake si amekaa kutombwatombwa.

Tafsiri yake ni ana mvuto. Anavutia.
Ana mvuto gani?

Wa kuliwa kama pilau?
 
Kulalake watu mna maneno yenye ukakasiiii mmm...
 
Ebana eeh...si nimeshakwambia mvuto wa mahaba...hanjamu...muhu....ashiki...

Au hujaona?
Hayo maneno ya polite society wajukuuw a Shaaban Robert waliotoka Ivory Towers.

Kitaa tunaita "kutombana".
 
Sex pia ina maana ya gender ,so siyo kila sex ni kutombna
 
Hahaaa haya bana.

Nahisi umeelewa ila umeamua kubisha tu.
Tatizo si kuelewa au kutoelewa, tatizo ni context na framework, depth na sociology.

Jamii za Kiingereza zina tolerate kujamiiana katika lugha zaidi ya jamii za Kiswahili.

Ndiyo maana ukitaka kufanya direct translation - emphasis on direct translation, si polite society translation- ya neon sexy, kwa kuangalia etymology, kumwambia mtu "sexy" katika Kiswahili ni tusi.

Kwa sababu tendo la kujamiiana ni taboo kuzungumziwa kwa wazi katika Kiswahili.

Kiingereza hata jengo unaweza kuliita "sexy". kwa sababu tendo la kujamiiana limeshafanywa la kawaida sana.

Si ajabu kuna watu huko wanajamiiana na majengo!

Kwa sababu wanayapenda. See objectophilia

Kitu ambacho Mswahili wa kawaida ukimwambia ataona wazimu.
 
Gender inakujaje bila kutombana?
Sex ina maana ya jinsia aidha ya kiume au kike ,ndio maana unaweza kuulizwa your gender au your sex

Sex pia ina maana ya kuingiliana

Kutombana kunakujaje bila ya gender ase
 
Again, wajukuu wa Shaaban Robert wa ivory Towers wanaita sex na kujamiiana, watoto wa kitaa Ubaya ubaya tunaita f.u.ck na kutomba.

Kitendo kile kile.

Hao wajukuu wa Shaaban Robert wanafanya polepole kwa mashauzi, watoto wa Ubaya Ubaya wanapiga kama pumps hydraulics.

Mchezo ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…