Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,744
Mkuu hata kama ni chai ila sio yangu imeandaliwa Mwandishi wa kitabu.Na mimi nilipokuwa nakisoma niliiona ni chai ndo maana sikukimalizia kukisoma hicho kitabu.Ila nimeamua kuyaandika hapa baada ya jamaa niliyemu quote ameongea mambo ambayo hicho kitabu kiliyazungumzia sana.Anhaa kumbe kablaya adamu na hawa walitengenezwa binadamu wengine wakatoroka sasa wako wapi mkuu kwa sasa na jee hawakupatikana tena(bali najua ni chai lakini wacha nijitoe ufahamu niulize tu)
Ukitaka kujua hao watu wako wapi kitafute ukidownload kinaitwa Atlantis visitation and Genetic manipulation. By Michael Tsarion
