Inasemekana Dunia yetu ni globe Lakini ina tundu kubwa katika North pole, ambalo linaongoza katika nchi iliyoko chini ya dunia. Mbali na tundu la North pole, ipo milango mingi ya kupitia kufika katika nchi hiyo. Moja wapo ya milango hiyo ni area 51 katika jangwa la Nevada. Mlango ungine ni Bermuda Triangle. Nchi hiyo huwezi kuingia kwa chombo kama meli au ndege, mpaka ujue jinsi ya kufungua milango hiyo ambayo Iko katika higher dimension kuliko hii yetu.Labda mpaka wafungue wenyewe kama vile pale Bermuda Triangle.