Do Airplanes Reverse? Have Side Mirrors??

Hahaha nasikia zinajengewa runway yake kama mwendokasi ndege zingine walie tu, halafu wameng'oa siti wamechomelea bomba za kushikilia wanajiandaa kwa mafuriko ya abiria, abiria mtasimama hakuna kukaa.


Aiseeh!, kwa mzee wa chato usukute haya yote yanawezekana! 😀
 
Hapana, huwa naangalia sana vile vipindi vya 'Dubai Mega Airport' na 'Air crash investigation' kwenye channel ya 'NatGeo Gold', very intresting.
 
Kwakweli sioni mtiririko wa kimantiki au corelasiveness ya maswali yako, na majibu yake yapo wazi. Unaponiuliza wapi inashusha na kupakia that is a vague qn, okay inashusha na kupakia uwanjani kwenye facilities husika, but so what? Ndege inapopakia abiria panakuwa na jengo, so what? Ndege ikikaribia runway na ikapata taarifa hiyo basi ita 'abort' landing na kuwekwa on a 'circling pattern' hadi mambo yatakapokuwa shwari, na ofcourse haizimwi, but so what?
 
Hapana, huwa naangalia sana vile vipindi vya 'Dubai Mega Airport' na 'Air crash investigation' kwenye channel ya 'NatGeo Gold', very intresting.

Kiukweli umenifingua na hapa ntatenga muda niwe naangalia walau kipindi kimoja kwa wiki. Asante sana rafiki, be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…