Unawasha ili kureverse kutoka kwenye passenger bay ili kupisha ndege nyingie, kisha una-taxi hadi kwenye lot nyingine kusubiri abiria at a later time ambapo utaizima. Sasa ni bora tu ulivute kuliko hiyo process.
Hahaha Bombadier zetu ndio nazifahamu, special order waliomba ziwekewe side mirror.Hivo eeh, kiukweli sijawahi panda bombardier nilikuwa nakuta taswira ya madege makubwa kama za Emirates, KLM, British Airways je nazo zina side mirrors?
hiyo ilikuwa edikopta hiyoBinafsi nilishawahi kushuhudia ndege ikiwa Imesimama Angani .
Hahaha Bombadier zetu ndio nazifahamu, special order waliomba ziwekewe side mirror.
bombadia?nahisi zenyewe zina cha kuvutia tela la ndege. mbombadia zetu ni za uchumi wa kati.
ile mbombadia iloharibika preti krachi ilipona? yani ni tabu sana kupeleka ndege ikatengenezwe na mafundi wa kidongo chekundu.
Du, ndugu hili ni tango pori,kwa maelezo yako tokea mwanzo unapoteza watu, nina maswali kidogo,je ndege inashusha na kupakia wapi abiria? Je,ndege inapokuwa inapakia abiria hakuna majengo? Je, ndege ikakiribia runway rubani akapata taarifa kuwa kuna ndege nyingine inatua inazimwa au inakuwa silence? Je,nguvu ya injini huzidishwa wakati gani ikiwa imepaki au ikiwa runwayUnawasha ili kureverse kutoka kwenye passenger bay ili kupisha ndege nyingie, kisha una-taxi hadi kwenye lot nyingine kusubiri abiria at a later time ambapo utaizima. Sasa ni bora tu ulivute kuliko hiyo process.
Hahaha bombadier kama mwendokasi ni special order zile,kwasasa nilisikia ukitaka kuipanda ni kama uber, inakufuata ulipo. Nasikitika zitahamia chato april 2018.bombadia?nahisi zenyewe zina cha kuvutia tela la ndege. mbombadia zetu ni za uchumi wa kati.
ile mbombadia iloharibika preti krachi ilipona? yani ni tabu sana kupeleka ndege ikatengenezwe na mafundi wa kidongo chekundu.
Na zikihamia chato hazirudi tena. Sumatra wataipa ruti ya chato-mza-kglHahaha bombadier kama mwendokasi ni special order zile,kwasasa nilisikia ukitaka kuipanda ni kama uber, inakufuata ulipo. Nasikitika zitahamia chato april 2018.
Hahaha bombadier kama mwendokasi ni special order zile,kwasasa nilisikia ukitaka kuipanda ni kama uber, inakufuata ulipo. Nasikitika zitahamia chato april 2018.
Binafsi nilishawahi kushuhudia ndege ikiwa Imesimama Angani .
Kasie wangu, kwanza nimefurahi sana kuona unauliza maswali ya aina hii, inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
Tukirudi kwenye swali lako. Kwa ufupi ni kwamba ndege inaweza kurudi nyuma, hasa zile kubwa zenye engine za jet.
Injini inapochoma mafuta, hewa hugandamizwa na kutolewa kwa msukumo mkubwa kurudi nyuma, msukumo huo huifanya ndege iende mbele.
Sasa pale inapotua, ndege hugeuza ile hewa kuelekea mbele lengo likiwa kuisaidia kupunguza mwendo ili isimame bila kwenda umbali mrefu (Ndio maana ndege ikitua, kelele huongezeka sana, injini hufunguka kuziba hewa iliyokua inaelekea nyuma ielekee mbele).
Kwa kutumia kanuni hiyo, inamaana kama kitendo hicho kitafanyika ndege ikiwa imesimama, itarudi nyuma. Lakini tatizo ni moja, itasababisha uharibifu mkubwa sana. Kumbuka ndege ikiegeshwa kwenye kushusha au kupakia abiria/mizigo, inakua karibu na majengo, magari na vitu vingine, ule upepo uliogandamizwa kwa nguvu ukielekea mbele kwa kasi utaleta madhara kwa kuwa sio sehem ya ndege kuruka au kutua ambayo inakua wazi (run way).
Kwa kuwa wewe ni msomi, google reverse thrust
Hahaha nasikia zinajengewa runway yake kama mwendokasi ndege zingine walie tu, halafu wameng'oa siti wamechomelea bomba za kushikilia wanajiandaa kwa mafuriko ya abiria, abiria mtasimama hakuna kukaa.Hahaha!, nyie watu! 😀
Hahaha zitakuwa hoteliNa zikihamia chato hazirudi tena. Sumatra wataipa ruti ya chato-mza-kgl