Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
The key, of course, is that side or rear view mirrors have a very different purpose on airplanes. They certainly aren’t for reversing, passing, or changing lanes!
Airplanes do not have a transmission. The wheels turn freely; all power for movement comes from the jet engines, which generate thrust by pushing air back. Turboprop engines have gearing and are capable ofreversing direction, by placing the throttle in what is called the "beta range."
Heey people, Happy Sunday!
Kwa kitambo sass nimekuwa nikitumia usafiri wa ndege au aeroplane, sasa siku moja nikiwa niko ndani ya ndege ila bado hatujaanza kupaa au kuondoka, nikaona ndege jirani inarudi kinyumenyume tayari kuanza safari ya kulitafuta anga. Lakini hiyo ndege ilikuwa inarudishwa nyuma na kama kagari kameweka bomba refu la chuma ambalo linasukuma matairi ya mbele.
Nikajiuliza je, ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe kama gari hadi isukumwe? Je inahitaji side mirror ili kuona nyuma na pembeni asijegonga ndege nyingine?
Nimejiuliza nikakosa jibu, nikamuuliza doctor Google ndo kanipatia hiyo English hapo juu. Bado sijaelewa wala sijapata jibu, mwenye ujuzi tafadhali anieleweshe au ndo hadi nikasomee u pilot?
Kasie Matata.