hiyo ni kulala tu!
Wajua wazungu wakiwa na wasiwasi hata wajinsia yako, hawaangalii maumbile!!!! wanakwenda maabara kwasababu wanaamini kuna wanawake wenye maumbile ya kiume na kuna wanaume wa kihivo.... hebu kumbuka ile skendo ya SEMENYA, mwanariadha wa kike wa Africa ya kusini aliye ibua utata juu ya jinsia yake. ingekuwa bongo wangeubaliana naye kwa kuchungulia nyeti zake tu, lakini wazungu walienda mpaka maabara kuthibitisha.