Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Wanaume bwana! kina mama wanawasaidia kuficha aibu nyie mnakuja juu!shida tu....
Aibu ipi inafichwa....?Wanaume bwana! kina mama wanawasaidia kuficha aibu nyie mnakuja juu!
ya kutoitwa baba fulaniAibu ipi inafichwa....?
kwahiyo wanakuwa wanitwa "bibi flani" badala ya kuitwa "baba flani"..?ya kutoitwa baba fulani
aluuuuuuuuuuu kwa hiyo hatamdaka?
Ngoja tuonealuuuuuuuuuuu kwa hiyo hatamdaka?